samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
  2. JamiiForums Tanzania Kwako Rais wangu Samia

    Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan. Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Ruksa kutoa matusi wale wa upande wa pili mana mnalilia uongozi na hampati huo uongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  4. JamiiForums Tanzania Samia na CCM mnatumia nguvu ya dola kulazimisha uchaguzi ufanyike jinsi mnavyotaka, Je, hamuoni mnahatarisha amani ya nchi? Je, hii ni Haki?

    Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CCM Ruangwa wamuahidi Rais Samia mitano tena

    Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

    Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

    Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Africa Uncovered: The systematic suppression of opposition voices to avoid election defeat in Tanzania?

    https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially hailed as a reformer for reversing Magufuli's controversial policies and reviving Tanzania's...
  10. JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  14. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia ndiye alikuwa anamshauri Hayati Magufuli jinsi ya kudili na wakosoaji wake. Anayoyafanya sasa ni ushahidi

    Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha mshahara kutoka Tsh. 370,000 hadi 500,000

    Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  17. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mei Mosi

    Utangulizi Mei Mosi ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi, inayotumika kutambua, kusherehekea, na kuangazia mchango muhimu wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Katika Tanzania, siku hii huadhimishwa kwa hamasa kubwa, huku serikali na vyama vya wafanyakazi wakitumia fursa hiyo kuzungumzia...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

    Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
  20. JamiiForums Tanzania Nini hasa falsafa ya Rais Samia

    Kila awamu za utawala wa Rais una falsafa zake za kiuchumi Ila Kwa Sasa naona tunajiendea kama ng'ombe anapelekwa Vingunguti machinjioni 1 Mwalimu JK Nyerere_ Ujamaa na kujitegemea Nyerere ndo Rais wa awamu ya Kwa kwanza alipokea Taifa likiwa changa kutoka Kwa mkoloni Falsafa yake ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…