samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  3. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  4. JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Dkt. Samia - yanayosemwa sasa ni stress za urais 2025 na 2030

    Profesa wa siasa Samia Suluhu Hassan aliyaona haya mapema. Hapa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 tarehe 04 Januari, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Aliyemzuia Mpango na Majaliwa kugombea atamzuia Samia pia

    Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja. Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.
  11. JamiiForums Tanzania Polepole: Agenda ya uteuzi wa Samia ni Res Judicata kwa sasa

    Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata. Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato...
  12. JamiiForums Tanzania Polepole analalamika rafu za JK kumbeba Samia urais CCM 2025, lakini alifurahia rafu za JK 2015 zilizopelekea Magufuli kugombea urais na kushinda!

    Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma! JK huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kila Samia akikosolewa inasemwa ni udini?

    Sijaelewa ni kwa nini Kila akikosolewa Samia Suluhu Hassan ndani ya chama chake ama kama Rais hoja kuwa ukosoaji huo unatokana na dini yake huibuka. Hivi ni Rais gani wa nchi hii ambaye hajawahi kukosolewa. Jee walipokosolewa Nyerere,Mwinyi, Mkapa, Kikwete au Magufuli hao Marais walikuwa hawana...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
  15. JamiiForums Tanzania Viinyozi wa Samia

    Hii nchi yetu inahitaji sana ukombozi wa fikra. Eti kuna vinyozi wa samia,nao wanaomba serikali iwafikirie.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoka kwenye kutawaliwa na taifa moja lenye nguvu. Tanzania lazima tuendelee kutofungamana na upande wowote

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa haumilikiwi na taifa moja pekee kama ilivyo zamani Tunashudia mabadiliko makubwa kutoka kutawaliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msanii adai: Ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050

    Wakuu! Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Mwanasiasa Maarufu zaidi Tanzania, Akifuatiwa na Kikwete then Samia

    Ni kweli Ili Uwe Rais Nchi hii lazima ufahamike vizuri miongoni mwa wananchi wa Tanzania. Hapo awali tulipata wanasiasa maarufu na wenye nguvu kweli kweli mifano kama Magufuli, Edward Lowasa, Nyerere etc. Ila Kwa Sasa Hali imebadilika na Mimi nimeshangaa sana, ninavyoona na mambo yalivyo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!. Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
  20. JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…