samia suluhus hassan

Samia Suluhu Hassan ( SAH-mee-ah soo-LOO-hoo HA-san; born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving as president of the United Republic of Tanzania since 19 March 2021. She is the first woman to serve in the position. She previously served as vice-president of Tanzania from 2015 to 2021, from which she ascended to the presidency following the death of her predecessor, John Magufuli.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region from 2000 to 2010. She then served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution. Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the Chama Cha Mapinduzi ticket with Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020.
As president, Suluhu has implemented democratic reforms, reversing the policies of her predecessor that were implemented to repress political opposition. She also implemented policies to limit the spread of the COVID-19 pandemic in Tanzania, which Magufuli had denied was a serious issue. Other focuses of her presidency have included the expansion of infrastructure and the globalisation of the Tanzanian economy through investors and tourism.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    PostGE2025 Unauliza nguvu ndogo ndo ipi? Kwa hiyo nguvu kubwa ndo kuua kwa risasi, kuzika kwenye makaburi ya halaiki na kuzuia majeruhi kutibiwa? Tukutane ICC

    Kwa kiburi kabisa, akiwa mbele ya Camera anasema kwa kujiamini kabisa eti nguvu ndogo ndo ipi? Kwa akili zake kabisa akaona yale ndo aongee mbele ya camera tena akiwa anarekodiwa? Kwa hiyo aliambiwa nguvu kubwa inayofaa ndo kuuwa watu wa risasi za moto kwa makusudi? Kuwazika kwenye makaburi ya...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

    Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia: Vijana walioandamana wametoka nje ya Tanzania

    "Tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi. Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za kitanzania na sio Utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi ya vijana waliokamatwa kutokana na tabia hiyo...
  4. M

    GE2025 Ole Sabaya: Kanisa la kweli halibishani na Serikali

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Kanisa la kweli la Bwana halibishani na Serikali kwakuwa Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu hivyo amewaomba Viongozi na Waumin wa Makanisa mbalimbali kudumisha amani.
  5. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Kila kitu kipo ni kuheshimisha utu wa Mtanzania, sina uchungu nabeba matusi yote yanayotolewa

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema matusi anayotukanwa anayabeba kwa niaba ya wananchi. Pia, amesema maandamano yatakayokuwepo ni ya kwenda kupiga kura na siyo maandamano mengine. Samia amesema hayo leo Oktoba 21, 2025 kwenye mwendelezo wa kampeni...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Samia anachukizwa na shida za wananchi na umaskini lakini hachukizwi na utekaji wa raia unaoendelea

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Kibamba Mkoani Dar Es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki amesema katika kipindi kifupi alichofanya kazi chini ya Rais wa awamu ya sita na Mgombea Urais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa shahidi wa huruma, imani na kujali kwa...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Maria Paulo aeleza furaha baada yakupiga SELFIE na Rais Samia

    Maria Paulo Mkazi wa Maswa akielezea furaha yake baada ya ombi lake la kupiga picha ya selfie kukubaliwa na Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewasili mapema leo kwa ajili ya mkutano wa Kampeni. Bi. Maria alifikisha ujumbe huo kwa njia ya maandishi yaliyochorwa...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Chifu Wanzagi: Tumeridhishwa na uchapakazi wa Rais Samia

    Chifu wa kabila la Wazanaki na Mwenyekiti wa Ukoo wa Burito ulio Ukoo wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amesema kwaniaba ya Machifu wenzake na Ukoo wa Berito wanaridhika na uchapakazi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Pato la wavuvi limefikia Bilioni 38.400 kutoka bilioni 9.400

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwa miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kuongeza pato la Wavuvi kutoka Shilingi Bilioni tisa na Milioni mia nne hadi kufikia Shilingi...
  10. R

    GE2025 Sadifa Hamisi: Samia na Dkt. Mwinyi wanafaa kuendelea Miaka isiyopungua 20 huo ndio ukweli

    Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
  11. funaku

    Hongera Rais Samia hatimaye Wavuvi wa Pwani umeanza kuwakumbuka

    Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari" Leo hii umewatambua na kuwakumbuka kwa kuwapa boti 30+ Ombi langu ni moja tu...wapelekee meli za uvuvi wajiajiri kwenye kazi...
Back
Top Bottom