Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote, changamoto zote zilizopo sasa kuhusiana na bima ikiwemo baadhi ya Maradhi kutotibiwa kwa Bima zitatatuliwa na bima hiyo itaweza kulipiamatibabu kwa magonjwa yote makubwa...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, leo Septemba 27 katika mahojiano ya Cafe Talk Jijini Dar es salaam, akijibu swali lililoulizwa na Mwaandishi wa Habari Charles William, amesema utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote utasaidia kuondoa changamoto...
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)
1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
2. Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.