Naandika haya nikiwa katika Jiji la Dar es Salaam, moja ya sehemu chafu kimazingira katika nchi yetu. Najaribu kuwaza uhusiano uliopo kati ya umaskini na uchafu lakini bado sijaona sababu ya msingi ya umaskini wetu kutufanya tuishi katika mazingira machafu. Nimwaza njia zifuatazo zinaweza...