rushwa nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  2. Mtemi mpambalioto

    Kama kweli Rais ana nia ya kufuta rushwa nchini aruhusu turekodi matukio ofisi za serikali

    Kama kweli Rais ana dhamira ya kuondoa Rushwa, uonevu, na aibu za kila aina katika ofisi za umma basi atoe ruhusa maeneo hayo watu kupiga picha na kurekodi sauti na matukio kama tunavyoonaga watu wakirekodi kwa kificho na inakuwa inaisaidia serikali kuwapata wanaofanya hayo matukio.mabaya basi...
  3. baz kaiza

    GE2025 Mtu anayepambania nchi ikae kwenye mstari ndo mnataka kufukuza nchini ili wabaki wezi?

    Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo. Eti ndo wanapambana kufukuza nchi kwa ajili ya maslahi ya kakikundi kadogo Hiv hamnaga...
Back
Top Bottom