rushwa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Prof Mkumbo: CCM inaogopa rushwa, CCM pia inapambana na rushwa

    CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo. Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu? ============= Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo...
  2. The Palm Beach

    GE2025 Wanachama wa CCM warudisha Michele,sukari wadai ni rushwa

    Hawa jamaa (CCM) rushwa iko kwenye damu zao. Hii rushwa ya ndani ya chama chao ni tone kwenye ziwa Victoria.... Kwenye ushindani na vyama vingine, huko wanapora na kuiba kila kitu, wanateka, kupoteza na kuua kabisa wapinzani wao... Tunaposema, hawajawahi kushinda uchaguzi wowote kihalali muwe...
  3. Lord Denning

    Huitaji kuwa Malaika kujua ni CCM ndo wanaolingamaza hili taifa kwa kutumia Rushwa kuzuia Upinzani wa Kweli

    Katika Mtandao wa X zamani Twitter kuna account zinafahamika kama akaunti zinazotumiwa na Viongozi wa Serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi kama Machinery zao za Uendezi na Propaganda. Akaunti hizi ni pamoja na Akaunti ambazo kuna kipindi fulani zilifahamika sana kama Akaunti zilizotumiwa na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Arusha: Katibu mwenezi abainisha kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya CCM

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekiri kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya chama hicho, akisema inasababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasio bora wanaowadharau wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Ramsey...
  6. Chifu mkuu

    Jaji Warioba: Napongeza CCM kwa hatua zake dhidi ya rushwa

    Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mapambano dhidi ya rushwa kwenye uchaguzi. Jaji Warioba ametoa pongezi hizo akirejea mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyofanywa na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Kulikuwa na majambazi CCM wanaotoa rushwa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza mianya ya rushwa iliyokuwa ikifanywa na watia nia ili kupitishwa na chama kugombea udiwani na ubunge...
Back
Top Bottom