rushwa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    Kwanini Nchi za Afrika Zimepwaya Kimaendeleo Ukilinganisha na Nchi za Asia Ingawa kwa Pamoja Tulikuwa Chini ya Ukoloni?

    Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, ukoloni pekee ndiyo unaolaumiwa? Au kuna mengine zaidi? Hili ni swali ambalo linaibuka tena na tena miongoni mwa wachambuzi wa historia, maendeleo na siasa za kimataifa. Mara nyingi, hoja maarufu inayorudiwa ni kwamba mataifa ya Afrika yamekuwa nyuma kwa sababu...
  2. kaputula

    Waarabu Qatari wamhonga Trump ndege ya usd 400 milioni ili kupewa dili Marekani. Je watanzania tuna uwezo kunusurika na rushwa za waarabu?

    Kutokana na jinsi nchi ya marekani taratibu zake zilivyo tumeona namna haikuwezekana hongo ya Qatari ya ndege ya dola milioni 400 kwa Tramp kua siri na ikabidi iitwe ni zawadi. Ukifuatilia utagundua Qatari hawajatoa zawadi kwa rais wa marekani ila kwa Donald Trump yaani aweze kutoka nayo baada...
  3. A

    Viongozi wa dini: Je, rushwa imewapofusha au ni uwezo mdogo wa kutambua mambo?

    Nawasalimu nyote hapa JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu hasa inayowahusu baadhi ya viongozi wetu wa dini waliokaririwa na vyombo vya habari wakiwaonya waumini wao kuhusu ajenda inayozungumzwa katika mikutano ya CHADEMA kuhusu no reforms no election/bila mabadiliko hakuna...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

    Leo Machi 27, 2025 majira ya saa 5:00 asubuhi Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 Ikulu Dar es Salam. https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt TUJIKUMBUSHE ALICHOSEMA RAIS SAMIA BAADA YA KUPOKEA REPOTI YA...
  5. Upekuzi101

    Inaumiza, inakatisha tamaa, ni unyanyasaji dhidi ya wanawake na rushwa

    Mamlaka ya usafiri na uchukuzi fuatilieni hili swala, mama kama huyu kusafiri mikoa yote mzigo wake ukiwa sawa alafu ghafla anazuiliwa kwenye mzani wa mwisho inafikirisha sana. Kuna mazingira ya ubovu wa mizani, UNYANYASAJI kwa mwanamke kwa kuzingatia majibu ya meneja kuwa "wewe ni mwanamke na...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika na iondokane na adha ya umeme kukatikakatika. Rais Samia amesema hayo baada ya kufungua mradi wa...
  7. Blender

    Wafichuzi wa maovu wazidi kukabiliwa na hatari Afrika

    Bakari Ubena - Dw Swahili Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao hujikuta wakijipigania usalama wao na wa wapendwa wao. Wafichuaji hujikuta wakilaazimika kujilinda...
  8. Suley2019

    Rushwa na ufisadi bado vimekithiri katika nchi nyingi za Afrika licha ya jitihada zinazofanyika kuikomesha

    Suala la rushwa na ufisadi ni mambo linalosumbua duniani kote. Rushwa inatikisa katika mataifa mengi ulimwenguni yaliyoendelea na yasiyoendelea na ushahidi unaonyesha kuwa rushwa inaumiza watu maskini kupita kiasi. Kwa mujibu wa makala iliyotolewa katika tovuti rasmi ya Serikali ya Afrika ya...
Back
Top Bottom