rungwe

Rungwe is a District in Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Mbeya Rural District, to the east by Iringa Region, to the southeast by Kyela District, to the southwest by Ileje District and to the west by Mbeya Urban District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Rungwe District was 307,270.The District Commissioner of Rungwe District is Julius Chalya.
Population
The majority of People who are living in the District are Nyakyusa by Tribe.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Rungwe: 18 wafariki kwa maporomoko

    Watu 18 wamefariki dunia katika Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya hii ni baada Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kusababisha maporomoko ya udongo kutoka milimani kuvamia Makazi ya Wananchi katika kata mbalimbali. Timu ya Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Kamati ya Ulizi na Usalama...
  2. The Burning Spear

    Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
  3. DuaZaMama

    Taharuki yatanda wafanyakazi 216 kiwanda cha chai Rungwe kufukuzwa kazi

    Taharuki imetanda kiwanda cha Wakulima wa Chai kilichopo Katumba wilayani Rungwe mkoani Mbeya kufuatia wafanyakazi 216 kuandamana kwa mabango kupinga kufukuzwa kazi wakidai stahiki zao, huku wakiiomba serikali kuingilia kati. Imeelezwa kuwa tangu kufungwa kwa kiwanda hicho Mei 9 mwaka huu...
  4. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Dkt. Samia kujenga vituo 50 vya kuhifadhi parachichi

    DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
  5. Rashda Zunde

    GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  6. Mwanongwa

    Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  7. Mindyou

    GE2025 Mwenyekiti BAVICHA Mbeya: Waliozuiwa wasifanye siasa CHADEMA ni watatu. Rungwe kaeni mkao wa kula tunakuja kufanya mikutano

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache. Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  9. DodomaTZ

    GE2025 Dkt. Mafwenga achukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka Mafwenga ambaye pia ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amechukua Fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Rungwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  10. PAYE

    GE2025 Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona. Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
  11. E

    Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

    DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi. Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo...
  12. Waufukweni

    Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  13. chiembe

    Le Capitaine Hashimu Rungwe akiwa ndani ya Helkopta. Youtube Channel ya Chaumma yafikisha subscribers 250,000,mapambano yanaendelea

    Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma. Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
  14. Kinyungu

    Mzee Rungwe Wafukuze Hao Wakuja Mrema na Wenzake Wataua CHAUMMA

    Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona. Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani. Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa...
  15. Sifi Leo

    Kama ni kweli Mfumo unataka kumtumia, Zitto, HASIMU Rungwe, Mwijaku, na Baba levo Mfumo hauna Adabu kabisa

    Kama kweli Mfumo unataka kumtumia Baba Levo kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini Pia mfumo unataka kumtumia Mwijaku kuvuruga uchaguzi Kigoma mjini Bado pia haukuona pontetilaity ya Zitto unataka ashindwe Kigoma mjini aise mfumo unaaribu nchi mchana kweupe Kwamba Mwijaku au huyo Baba Levo ndo...
  16. C

    Hashim Rungwe Spunda anastahili honorary doctorate!

    Muslim University of Morogoro kwa nini msimtunuku honorary doctorate Mheshimiwa Hashimu Rungwe Spunda kwa mageuzi ya Kisiasa nchini? Nini kinakwamisha?
  17. Komeo Lachuma

    PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  18. Just Pray

    Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

    Wakuu Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
  19. A

    CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  20. Kyambamasimbi

    Wakulima wa chai wilayani Rungwe-Mbeya hawajalipwa miezi minne sasa hakuna taarifa yoyote wakulima waanza kung'oa chai

    Katika Hali isiyo ya kawaida wakulima wa zao la chai wilayani Rungwe mkoani Mbeya hawajalipwa fedha zao ambazo kwa kawaida hulipwa Kila mwezi, halafu imekuwa ni kawaida Yao wamiliki wa viwanda kutowalipa wakulima kwa wakati na katika miezi wanayodai huwapooza kwa kuwalipa mwezi mmoja halafu...
Back
Top Bottom