Husika na kichwa hapo juu,
Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN.
Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...