Habari,
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Tarehe 16 nilifika Stendi ya Somanda, Bariadi, Simiyu, ambapo nilitakiwa kulipa shilingi 300 kama ada ya kuingia stendi. Baada ya kulipa, nilimwomba mlinzi anipe risiti, lakini aliponipa niligundua kuwa risiti hiyo ilikuwa ya tarehe iliyopita...