ripoti ya cnn

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    PostGE2025 U.S. Senate Foreign Relations Committee: Ripoti ya CNN inaonesha uhitaji wa uchunguzi huru juu ya mauaji yaliyofanywa na serikali ya Tanzania

    Kutoka mtandao wa X 👇. Tunasubiri majibu ya kizalendo kutoka kwa msemaji wa Serikali. -------------- Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani (U.S. Senate Foreign Relations Committee) imetoa taarifa inayoonesha kwa kina hatua za kutia wasiwasi zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania...
  2. Cute Wife

    PostGE2025 Larry: CNN ilituma maswali kwa Msigwa, Wizara ya Afya na Polisi lakini hatukupata majibu

    Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania...
  3. Cute Wife

    PostGE2025 Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini mkubwa jinsi Msigwa anavyoibagaza CNN!

    Wakuu, Yaani mpaka waandishibwa habari wenyewe aliowasifia kuwa na "Weledi" na "Maadili" walikuwa wakimuona fala😂🤣🤣, yaani vile waandiahi wanavyopigwa spana na wananchi unatoka kusema wamefanya kazi kwa weledi! Wanasema picha zinaongea, na kweli ukiziangalia hizi picha unapata yote waliyokuwa...
  4. MamaSamia2025

    Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

    Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo. Uchunguzi wangu...
  5. Genius Man

    Larry Madowo aposti anacheka baada ya Serikali kuja na hoja zisizoeleweka wala kukanusha ripoti za CNN

  6. Genius Man

    PostGE2025 Rasmi serikali ya Tanzania inadai walichofanya BBC, CNN sio "HAKI" na wao wanataka haki sio amani

    Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki. ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye amani.
  7. Cute Wife

    PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
  8. Cute Wife

    PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  9. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Kwahiyo huyu ndie wamemtuma kujibu ripoti ya CNN? Ila hawa mashehe wanachokitafuta watakipata

    Imamu wa Msikiti wa Mtambani wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Sheikh Shaban Pembe amehoji sababu ya nguvu kubwa ambayo vyombo vya habari vya kimataifa na baadhi ya majirani wa Tanzania, hususan Kenya, wameiweka katika kuripoti matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi...
  10. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
  11. ngara23

    PostGE2025 Ripoti ya CNN haijaonyesha hata 10% uhalisia wa mauaji ya Samia

    Nimeona watu wengi wameshtushwa na hii report ya CNN iliyoonyesha mauaji ya mo29, ila kimsingi hako kaji ripoti na kadogo mno, na mauaji ni mengi Ulimwengu hautajua hata theluthi ya ukatili uliofanywa na police na vikosi vya mauaji Mfano Mwanza wameuliwa na watu wengi tena kikatili, hospital...
Back
Top Bottom