ripoti ya cag 2023/2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Ripoti za CAG kwa CCM iliyopo madarakani ni aibu sana

    Kila ripoti inapotoka kwa CAG ni segere na visingeli wanavyo fanya hawa ccm ndani ya serikali sababu ni chama kipo madarakani hakuna wa kusingizia kama wasemavyo aliyepita kama kapita mbona deni lina ongezeka. Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27...
  2. Mindyou

    Rais Samia: Kumekuwa na ongezeko la ufanisi katika matumizi ya rasilimali za serikali, mapungufu mengi yaliyotajwa na CAG ni ya miaka ya nyuma

    Akiwa anapokea ripoti ya CAG na ripoti ya mwaka ya TAKUKURU siku ya leo, Rais Samia amesema kwamba pamoja na mapungufu aliyotaja CAG lakini kumekuwa na ufanisi mkubwa serikalini na kwamba mapungufu mengi yaliyotajwa ni ya miaka ya nyuma "Faraja tuliyoipata ni kwamba kwa ujumla kumekuwa na...
  3. Just Pray

    Ripoti ya CAG: Halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali

    "Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu wa fedha za umma na kusababisha ucheleweshaji na utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi. Napendekeza...
  4. W

    Ripoti ya CAG: Serikali inadaiwa Shilingi Bilioni 7.90 kama fidia kwa wananchi waliopisha miradi ya maendeleo

    Wakati akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa Rais, Mkaguzi mkuu wa serikali Charles Kichere amesema kuwa serikali inadaiwa kiasi cha shilingi Bilioni 7.90 kama fidia kwa waliopisha miradi ya maendeleo. Aidha ameshauri pesa hizo kulipwa kwa wakati ili kuepusha riba inayoweza kutokea kutokana na...
  5. ChoiceVariable

    Ripoti ya CAG: TRC imepata Hasara ya shilingi Bilioni 224. Ni Mara 2 ya mwaka uliopita

    Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita. CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya...
  6. W

    Ripoti ya CAG: Mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Sh. Bilioni 371.42 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi

    Akiwasilisha ripoti yake kwa Rais, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, Charle Kichere ameeleza kuwa mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Bilioni 371 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi. Matumizi hayo yalitokana na mambo mbalimbali ikiwemo malimbikizo ya riba...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

    Leo Machi 27, 2025 majira ya saa 5:00 asubuhi Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 Ikulu Dar es Salam. https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt TUJIKUMBUSHE ALICHOSEMA RAIS SAMIA BAADA YA KUPOKEA REPOTI YA...
Back
Top Bottom