Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje?
Ni baadhi ya maneno yapo kwenye wimbo ule ,tafadhari ,wenye uwezo kuuleta winbo husika ebu fanya hivyo...