Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray amesema ajira za utumishi hupatikana kwa ushindani na uwazi na kwamba Vijana wanaojitolea kazini (field) huwezeshwa kupata ujuzi na uzoefu na uwezo wa kushindana pindi ajira zinapotoka lakini sio kwamba Vijana wenye...
Naibu waziri wa Utumishi na utawala bora, Regina Ndege Qwaray akijibu swali la Mbunge viti maalum Latifa Juakali kuhusu serikali kutoa vipaumbele vya ajira kwa vijana wenye umri mkubwa.
Naibu waziri ameeleza kuwa Serikali imetoa kipaumbele kuhakikisha vijana wenye umri mkubwa kupata ajira pindi...
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Manyara, kwa kipindi kilichopita Regina Ndege na Yustina Rahhi wamefanikiwa kutetea nafasi zao kwa kuibuka kidedea kwenye kura za maoni.
Katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Babati leo jumatano Julai 30, 2025, Regina na Rahhi wamewashinda wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.