redmi

  1. Richmoto Kushmoto

    Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

    hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera pamoja battery
  2. Ok9

    Ipi imekaa njema oppo a16 na Redmi 10c

    Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma... Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
  3. Lavit

    Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  4. Patience123

    Phone4Sale Used Redmi 9C for sale

    Ram 3gb Rom 64gb Bei 270k. Nimetumia miezi 6, haina tatizo lolote. Iko na box lake. Ukihitaji njoo PM.
  5. Baba Rhobi

    Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

    Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo...
  6. Superfly

    Xiaomi redmi 9 za Tigo: Line za mitandao Mingine zinakua na performance sawa kimtandao kama Tigo (Unlocked)?

    Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo.. Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
  7. Gushleviv

    Phone4Sale Redmi Note 10

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version) Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 4 GB Condition: Used for 3 Months Battery: 5000Mah- 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 400,000 TZs (Negotiable) DM is Open for interested Buyers.
  8. C

    Phone4Sale OFFER: Xiaomi Smartphone Redmi 7 32GB Storage 199,000 TZS

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi 7 Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 3 GB Condition: Used but still in a good condition Battery: 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 199,000 TZs CALL: +255 757 700 510 Serious buyers only!
  9. C

    Phone4Sale OFFER: Xiaomi Smartphone for Sale 219000 Tzs

    Smartphone for Sale Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi 7 Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 3 GB Condition: Used but still in a good condition Battery: 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 219,000 TZs CALL: 0658 700 510 Serious buyers only!
  10. MC44

    Kati ya onepus N100 na redmi 9

    Kati ya hizo 2 ipi ya kuipa kipaumbele? OnePlus n100 na redmi 9
  11. monotheist

    Phone4Sale Nauza oppo A9 2020

    Ram 8gb ROM 128gb Betty 5000mAh Double line Chpset Snapdragon (11nm) Tsh 280,000 Inacrecks kidogo haina atizo lolote zaidi inapiga kazi freshi 0692402211
  12. captain dunga

    Kati ya Xiaomi Redmi Note 8(snapdragon) na Redmi Note 9 (Mediatek) ipi bora?

    Wadau habari zenu.? Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe.. bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi kwenye screen, ofcourse huwa situmii screen protector hivyo tangu muda imepasuka kioo, ila jana kioo...
  13. M

    Msaada redmi note 8 pro china version

    Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio Ushauri wadau.
  14. eli_dealz

    Phone4Sale Nauza Redmi Note 7 Blue *Brand New*

    Nauza Redmi Note 7 Blue. Brand New and straight From Xiaomi Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 6 GB 6.3'' inch display Snapdragon 660 Processor 48 MP Camera Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo Battrey kubwa 4000 Mah (It...
  15. lucky lefty

    REDMI NOTE 7 64GB FOR SALE (BRAND NEW)

    JIPATIE BRAND NEW XIAOMI REDMI NOTE 7 YA GB 64 KWA 500,000 YA GB 128 KWA 600K. CAMERA - 48 MP RAM - 4 -6 GB BATTERY - 4000mAh WITH FAST CHARGER USB TYPE C BIDHAA ZOTE ZIKO SEALED NA MAELEWANO YAPO. Contact : 0738985904
Back
Top Bottom