real madrid

Real Madrid Club de Fútbol (Spanish pronunciation: [reˈal maˈðɾið ˈkluβ ðe ˈfuðβol] (listen), meaning Royal Madrid Football Club), commonly referred to as Real Madrid, is a Spanish professional football club based in Madrid.
Founded on 6 March 1902 as Madrid Football Club, the club has traditionally worn a white home kit since inception. The word real is Spanish for "royal" and was bestowed to the club by King Alfonso XIII in 1920 together with the royal crown in the emblem. The team has played its home matches in the 81,044-capacity Santiago Bernabéu Stadium in downtown Madrid since 1947. Unlike most European sporting entities, Real Madrid's members (socios) have owned and operated the club throughout its history.
The club was estimated to be worth €3.8 billion ($4.2 billion) in 2019, and it was the second highest-earning football club in the world, with an annual revenue of €757.3 million in 2019. The club is one of the most widely supported teams in the world. Real Madrid is one of three founding members of La Liga that have never been relegated from the top division since its inception in 1929, along with Athletic Bilbao and Barcelona. The club holds many long-standing rivalries, most notably El Clásico with Barcelona and El Derbi Madrileño with Atlético Madrid.
Real Madrid established itself as a major force in both Spanish and European football during the 1950s, winning five consecutive European Cups and reaching the final seven times. This success was replicated in the league, which the club won five times in the space of seven years. This team, which included Alfredo Di Stéfano, Ferenc Puskás, Francisco Gento, and Raymond Kopa, is considered by some in the sport to be the greatest team of all time.In domestic football, the club has won 66 trophies; a record 34 La Liga titles, 19 Copa del Rey, 11 Supercopa de España, a Copa Eva Duarte, and a Copa de la Liga. In European and worldwide competitions, Real Madrid have won a record 26 trophies; a record 13 European Cup/UEFA Champions League titles, two UEFA Cups and four UEFA Super Cups. In international football, they have achieved a record seven club world championships.Real Madrid was recognised as the FIFA Club of the 20th Century on 11 December 2000 with 42.35% of the vote, and received the FIFA Centennial Order of Merit on 20 May 2004. The club was also awarded Best European Club of the 20th Century by the IFFHS on 11 May 2010. In June 2017, the team succeeded in becoming the first club to win consecutive Champions League titles, then made it three in a row and four in five seasons in May 2018, extending their lead atop the UEFA club rankings. As of 2020, Real Madrid are ranked third behind Bayern Munich and Barcelona.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    SI KWELI Roberto Carlos anatumia eneo la mazoezi ya klabu ya Real Madrid kama makazi baada ya kutaka kutalikiana na mkewe

    Nyota wa zamani wa Real Madrid, Roberto Carlos anadaiwa kuingia kwenye mgogoro na mkewe hali iliyopelea atumia majengo ya uwanja wa mazoezi wa Real Madrid kama makazi wakati akishughulikia suala lake la talaka na mkewe waliodumu kwa miaka 15 Wenzi hao, waliofunga ndoa mwaka 2009, sasa...
  2. Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  3. Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua...
  4. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  5. Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

    Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya. Kuhama kutoka klabu kubwa...
  6. Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu

    Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu. Uongozi wa klabu hiyo umeamua kwamba hakuna mwakilishi yeyote wa Real Madrid atakayehudhuria hafla hiyo ya kifahari. Soma Pia...
  7. Vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico

    Baada ya jana kuchapika bao 4-0 pale pale Bernabeu. Hivi hapa ndio vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico
  8. Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

    Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida. Nini kitatokea? Nani atafungwa? Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
  9. Kwa sasa hakuna mchezaji bora zaidi ya Vinicius Junior(vini jr)

    Mpappe,Messi,Robaldo,taja mwingine,ukuwajumlisha kwa pamoja kwa sasa ndio unampata Vini Jr
  10. Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
  11. Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

    Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
  12. Raphael Varane atangaza kustaafu mpira wa miguu wa Kulipwa Akiwa na Miaka 31

    Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja na mataji manne ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga wakati akiwa Real Madrid. Pia...
  13. Real Madrid ilipomaliza mechi bila kuwa na shot on target hata moja

    Kuna wakati unasikiliza baadhi ya watu huku mitandaoni unabaki kujiuliza hawa watu wanaujua kweli mpira au naongea na bots (kwa wasiojua bots ni mifumo ya kicomputer inayoact kama binadamu mitandaoni ikiwemo kupost comments). Mambo mengi ambayo tunashadadia ni ya kawaida sana kwenye ulimwengu...
  14. Aisee Barcelona msimi huu hawataki mchezo azidi kutembeza vipigo

    Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
  15. L

    Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

    Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
  16. Real Madrid inaandika historia ya kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)

    𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6) Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Europa League, Atalanta katika dimba la PGE Narodowy mjini Warsaw...
  17. Full Time: Real Madrid 2-0 Atalanta | UEFA Super Cup | Poland National Stadium | 14.08.2024

    Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland. Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa League. Real Madrid Vs Atalanta Dunia inaenda kumshuhudia Mbappe kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya...
  18. Real Madrid na Barcelona zashindana kumuwania Trent Alexander-Arnold

    Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25. Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
  19. Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo . Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
  20. U

    Mchezaji Kylian Mbappe atambulishwa rasmi katika klabu ya Real Madrid, mashabuki 80,000 wakata tiketi kushuhudia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: “Nimetamani kwa miaka mingi kucheza Real Madrid na leo ndoto yangu imetimia" "Nina furaha sana. Nataka kumshukuru Rais Florentino Perez. Ninaona familia yangu yote hivi sasa, na mama yangu ambaye analia." ©️ Kylian Mbappe Akiongea baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…