Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness Project (TACTIC), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia...
Mkuu wa mkoa wa mara kupitia waandishi wa habari amesema yafuataya ,Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza kwenye umwagiliaji wa mpunga: Kijiji cha Mariwanda (Bunda) – TSh milioni 213.05 na Kata ya Rabour (Rorya) – TSh milioni 982.82. Lengo ni kuongeza uzalishaji na kipato cha wanufaika. Pia...
==
Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za zamani na kuwezesha upitishaji wa barabara misimu yote kwa asilimia 72.7.
TANROADS imetekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.