Utata gari la RC
MKUU mmoja wa mikoa nchini (majina yanahifadhiwa kwa sasa), anadaiwa kuingia katika kashifa ya kununua gari la Serikali (Shangingi), alililokuwa akilitumia awali, Raia Mwema imebaini.
Uchunguzi wa Gazeti hili, umebaini kuwa Mkuu huyo anadaiwa kutumia madaraka yake kufanikisha...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Dkt.Juma Homera ametembelea na kukagua barabara ya Mlima iwambi na barabara ya mchepuo ya muda kwaajili ya kupita Magari kupishana na Malori.
Dkt.Homera amesema hapo awali walitoa agizo la magari makubwa yapite njia ya mchepuo lakini baada ushauri wa wadau mbalimbali...
Wakuu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo atashindwa kukamilisha Mradi huo mpaka ifikapo June 30,2025
Ameyasema hayo Leo akiwa Wilayani Mbarali...
https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy
Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali...
Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera ameandika historia muhimu katika safari yake ya kielimu na kitaaluma baada ya kufanikiwa kutetea kwa mafanikio tasnifu yake ya Uzamivu (PhD) na sasa kutambulika rasmi kama Daktari. Utetezi wa tasnifu...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria.
Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake.
My Take
Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania.
Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya...
Meli zote tatu zinazotoa Huduma katika ziwa Nyasa zimeharibika na meneja wa TPA amesema matengenezo yanasubiri kwanza tathmini kutoka Shirika la Bima la taifa (NIC)
Naye Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh Homera ameitaka TPA makao makuu pamoja na Wizara ya uchukuzi kueleza ukweli tatizo la meli hizo ni...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Bwana Wieber de Boer. Mhe Homera katika mazungumzo yake amempa Balozi Boer mambo matatu ili kusaidia katika sekta ya kilimo katika maeneo ya kilimo cha mboga mboga, matunda, chai na kahawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.