rc chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Daraja la Saba wanaingiza mamilioni, wa Chuo Kikuu wanalaumu mitaala haiwawezeshi kujiajiri

    RC wa Dar Albert Chalamila amewashangaa watu wanaolaumu Elimu ya Chuo Kikuu Tanzania hususani graduate Kwa kulalamika na kulaumu mitaala ya Elimu na Serikali wakati Kuna mtu ana Elimu ya darasa la Saba tu anaitumia kuingiza Mamilioni Kariakoo na kwingineko. My Take: Naunga mkono...
  2. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais hawajaanza kukukatisha tamaa wewe, hata Yesu alikatishwa tamaa na Petro na Kristo akamwambia "Toka Shetani"

    Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amesema yeye ni Mkatoliki na atafia Katoliki RC Chalamila amesema Petro alimkatisha tamaa Yesu Kristo na Laiti Mwana wa Mungu angemsikiliza basi Ukombozi wa Dunia usingepatikana Lakini Masihi alimwambia Petro " Shetani toka" Hivyo mh Rais hawa Wakatishaji...
  3. JamiiForums Tanzania Chalamila asema ataka Dar iwe ya mfano katika urejeleshaji taka

    ✍🏽 Kevin Lameck. Kulingana na ripoti Ya U.S Recycling Economic Information (REI), San Francisco - Marekani ni jiji la kijani kibichi hasa, linatajwa kama kinara kwa urejeshaji wa taka (recycling), kwa zaidi ya asilimia 80 ya taka zake. Wanafanyaje? Kwa kushikamana na mipango madhubuti ya...
  4. JamiiForums Tanzania RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

    Hello JF, Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo. Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali...
  5. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ahoji kama Bandari imeuzwa mbona soko la Ferry bado lipo. Asema waliopotosha wote wako ndani na wataendelea kukamatwa wakiibuka wengine

    Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila amesema lengo la Rais Samia ni kuongeza gati Ili kuhimili ushindanu wa kimataifa na wala siyo kuuza Bandari Chalamila ameuliza kama kweli Bandari imeuzwa mbona Soko la Samaki Ferry bado liko? Mbona Wavuvi na Mitumbwi yao bado wapo? Chalamila amesema wote...
  6. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  7. JamiiForums Tanzania Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

    "Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa. Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  10. JamiiForums Tanzania Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  11. JamiiForums Tanzania Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

    *UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…