raum

In demonology, Raum is a Great Earl of Hell, ruling thirty legions of demons. He is depicted as a crow which adopts human form at the request of the conjurer.

Raum, Reym (Rey) or Raim is a great earle, he is seene as a crowe, but when he putteth on humane shape, at the commandement of the exorcist, he stealeth woonderfullie out of the kings house, and carrieth it whether he is assigned, he destroieth cities, and hath great despite unto dignities, he knoweth things present, past, and to come, and reconcileth freends and foes, he was of the order of thrones, and governeth thirtie legions.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

    IST RAUM SPACIO RUMION RUN X
  2. Car4Sale Toyota Raum ya moto naiweka sokoni

    Bei/Price TSH 13.8M Call +255 747 999 927 TOYOTA RAUM Year: 2003 Engine: 1,490Cc Mileage: 91,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior Well-Maintained Exchange Possible
  3. Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  4. Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  5. R

    Car4Sale Raum inauzwa

    Toyota Raum silver CRW 8.6M 0710808418 Leo si nmepatia wanajamii
  6. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  7. Je wajua: Siasa za CCM & CHADEMA huamua bei elekezi ya vitu hivi?

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku. Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
  8. Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Msaada wataalamu
  9. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  10. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  11. M

    Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
  12. Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  13. Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  14. Nahitaji gari raum inayouzwa 5.5M

    Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana. Kama unalo tafadhali naomba tuwasiliane kwa 0755965775 calls/WhatsApp nije nikague nilipie. Shukrani
  15. Msaada: Toyota Raum steering wheel ina vibrate

    Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless. Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na...
  16. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  17. Nahitaji toyota raum new model

    Habari ya usiku wakuu. Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho. 🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc. 🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea. 🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote 🔥ISIWE rangi nyeupe. 🔥Iwe na nyaraka...
  18. B

    Car4Sale Nauza gari Raum

    Hokpjh
  19. M

    Gari yangu ni raum, milango haifungi

    Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni. mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga mlango wa kuchoto kuna loki inajiingiza ambayo ni tofauti na ile ya kawaida katika kitasa, lakini...
  20. B

    Car4Sale Raum for sale

    Gari liko katika hali nzuri, lina AC, Radio, tyres ni mpya, Model = Raum Engine type = GF-EXZ10 (HAIJAGUSWA KIVYOVYOTE) Gari haina dalali, mimi ndio mmiliki wa kwanza Gari lilinunuliwa moja kwa moja kutoka JAPAN Engine Capacity 1490 Mwaka wa kutengeneza 2002 Bei ni Tshs 6,000,000/=
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…