Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro.
Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump alichapisha picha iliyofanana na ukurasa wa Wikipedia, ikionyesha picha yake rasmi...
Kufuatia Operesheni ya kumkamata Rais Maduro, Serikali ya Marekni ilitoa taarifa kuwa mtu wa ndani ya Serikali ya Venezuela na mshirika wa CIA alisaidia kuwezesha kujua mienendo ya Rais Maduro na kufanikisha kukamatwa kwake.
Ikumbukwe Rais Trump, alitamka kuwa Makamu wa Rais wa Venezuelea Delcy...
“Mimi sina hatia. Sikujihusisha na kosa lolote. Mimi ni mtu mwema. Bado mimi ni rais wa nchi yangu,” alisema Maduro, mwenye umri wa miaka 63, kupitia mkalimani, kabla ya kukatizwa na Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, Alvin Hellerstein, katika mahakama ya shirikisho ya Manhattan.
Mke wa...
Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala
Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu.
Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
Wakuu,
Najua kwa sasa hot issue ni maduro. Hebu tupitie kidogo maisha yake
-----------
Novemba 23, 1962: Nicolás Maduro Moros anazaliwa Caracas, Venezuela, familia yake ikiwa ya wafanyakazi
Miaka ya 1970 hadi 1980: Akiwa kijana, alikuwa ni mnazi au mfuasi mkubwa wa siasa za mrengo wa kushoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.