rais wa senegal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Bassirou Diomaye Faye atangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, akijitenga na Pastef

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika wake wa muda mrefu, Ousmane Sonko. Akizungumza Ijumaa katika mkutano na mameya kutoka maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Senegal: Aliyetimuliwa Uwaziri Mkuu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge

    Bunge la Senegal limemchagua Waziri Mkuu wa zamani, Ousmane Sonko, kuwa Spika mpya. Hatua hii inaweza kumpa jukwaa lenye nguvu kubwa la kutoa upinzani kwa Rais Bassirou Diomaye Faye. Spika wa zamani wa bunge hilo, El Malick Ndiaye, alijiuzulu Mei 24, 2026 hatua ambayo wachambuzi wa mambo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal amteua Waziri Mkuu mpya Ahmadou Al Aminou Lo

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ahmadou Al Aminou Lo kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo. Ahmadou Lo, ambaye aliwahi kuwa kiongozi mkuu katika Benki Kuu ya Mataifa ya Afrika Magharibi (BCEAO), ni mtaalamu aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha. Ofisi ya Rais imesisitiza...
  5. JamiiForums Tanzania Senegal: Mwisho wa "Ndoa" ya Kisiasa? Rais Diomaye Faye amtimua kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko na kuvunja serikali

    Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na kuivunja Serikali yote. Uamuzi huu, uliosomwa kupitia televisheni ya taifa na Katibu Mkuu wa Kiongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa leo kufuatia ushindi wa AFCON 2025

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza leo Jumatatu, Januari 19, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kusherehekea ushindi wa timu ya taifa, Teranga Lions, kwenye fainali ya AFCON 2025. Tangazo hilo limekuja baada ya Senegal kuibuka mabingwa kwa kuifunga Morocco bao 1-0...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…