rais wa malawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mi mi

    Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano

    Uchaguzi wa Malawi uliofanyika na Malawi kupata Rais wa kuongoza nchi ya Malawi. Rais wa Malawi aliyechaguliwa hatomaliza miaka yake mitano ijayo ataondoshwa. Huu ni uhakika wa 100% ataondoshwa baada ya muda mfupi na serikali nzima itavunjwa huu sio utabiri ni uhakika wa 100%.
  2. W

    Rais wa Malawi akubali kushindwa kabla ya matokeo rasmi kutangazwa

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
  3. N

    Rais wa Malawi ameagiza kuwa msafara wake usizidi magari 10 na serikali isinunue magari mapya kwa ajili yake

    Kiongozi wa Malawi alitoa kauli hii katika hotuba ya kitaifa siku ya Jumamosi. Kwa mujibu wa Rais Chakwera, serikali yake inalenga kuhakikisha kuwa fedha za walipa kodi hazipotei bure. Alisema kuwa mojawapo ya hatua zilizochukuliwa ni kupunguza idadi ya magari kwenye msafara wake na kutumia...
  4. Dalton elijah

    Rais wa Malawi ataka Afrika kufutiwa deni

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameitaka jumuiya ya kimataifa kufikiria kufanya marekebisho na pengine kufuta madeni ya nchi za Afrika. Akihutubia kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, rais wa Malawi Lazarus Chakwera alisema nchi za Afrika zinapitia "magumu" katika kutimiza wajibu...
Back
Top Bottom