rais wa liberia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mrembo Aliyemwangusha Charles Taylor Rais wa liberia

    Ilikuwa ni miaka ya 90 kuelekea 2000. Pale Liberia kulikuwa na Rais mmoja mbabe sana, anaitwa Charles Taylor. Huyu jamaa alikuwa haambiliki, alikuwa anafadhili vita vya Sierra Leone wapigane wenyewe kwa wenyewe.. CIA walikuwa wanamtamani sana, lakini walikosa njia ya kuingia Ikulu kwake...
  2. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais wa Liberia na maafsa usalama wa Tanzania nusura wazichape, msafara wasimama kwa muda, matangazo yakatwa

    Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia apunguza mshahara wake kwa 40%

    Rais Joseph Boakai ametangaza atapunguza mshahara wake kwa Asilimia 40 huku Ofisi yake ikieleza ni sehemu ya kuonesha Utawala Unaowajibika Hivi karibuni Wananchi wengi wamelalamikia kupanda kwa gharama ya maisha Nchini hapo ambapo Kituo cha BBC kimedai takriban Mtu mmoja kati ya Watano anaishi...
Back
Top Bottom