rais wa korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ahukumiwa kwenda miaka 5 jela

    Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024. Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa mahakama kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu makosa...
  2. Yoda

    Kisa cha Kim Jae-gyu, mkuu wa ujasusi wa taifa aliyemuua boss wake rais Park Korea Kusini kutokana na mzozo wa kisiasa

    October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na bodyguard wake mkuu Cha wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku. Inasemekana mzozo wa wawili hao...
  3. Mindyou

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aondolewa madarakani. Uchaguzi kufanyika baada ya siku 60

    Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeidhinisha kwa kauli moja kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol baada ya kumkuta na hatia ya kukiuka katiba kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 3, 2024, hatua ambayo ilizua mtafaruku mkubwa wa kisiasa. Uamuzi huu unamaliza miezi ya mvutano...
Back
Top Bottom