Wiki moja baada ya bilionea wa Marekani, Elon Musk kutangaza kujiondoa katika Serikali ya Rais Donald Trump, uhusiano wao umeendelea kutetereka kiasi cha wawil hao kulumbana mitandaoni.
Musk ambaye ni mmiliki wa kampuni za Tesla, Space X na mtandao wa X (zamani Twitter) alitangaza kujiondoa...