Serikali ya Burkina Faso imesema imefanikiwa kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Ibrahim Traoré, ikimtuhumu aliyekuwa rais wa mpito, Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, kuwa mpangaji mkuu wa njama hiyo.
Waziri wa Usalama, Mahamadou Sana, amesema mpango huo ulihusisha mauaji ya...
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
Traore majuzi kasema 'Naijenga Burkinafaso Kwa ajili ya wanyonge '!!
Akaenda mbali zaidi, akasema 'Nauchukia Ufisadi na viongozi Mafisadi ambao wametanguliza Maisha yao mbele kuliko Raia wetu.
Akasema zaidi " Lazima tuheshimu na Tulinde Maisha na Uhai wa Kila Mwanamapinduzi wa Nchi hii'...
Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.
Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.
Kwa sisi wakali wa Diplomacy...
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe Rais Kaptein Ibrahim Traore iliwekwa sumu na Afisa mwandamizi wao kwa kumtumia mtu wa huduma za Rais...
Huyu mwamba wa Afrika Captain Ibrahim Traore, ni mtu nilitaka kumwona machoni akiwa Dar.
Huyu Rais Traore ni nyota ya mwafrika, na kila mwafrika mwenye kujielewa angependa kumtia machoni.
Serikali ingetutengenezea wananchi, hata mahali tunaweza kumwona mwamba huyu.
Alipokuja Mandela serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.