rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wakazi wa Katavi wawaache Watoto Wasome

    Mimba za utotoni Katavi zamkera samia, ataka watoto waachwe wakue Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwaacha watoto wasome, wakue ili kuwaepusha na zahama ya kuzaa watoto wenzao. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi, alipokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

    Moja kwa moja kwenye madam. Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa. Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitaka Wizara ya Nishati kuhakikisha Katavi inapata umeme wa Gridi ifikapo Septemba 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Barabara ya Tabora - Mpanda unateleza na lami tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, leo Julai 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024. https://www.youtube.com/live/fmehOWpyzMc?si=-SYQUW-soIhB1Eby
  8. JamiiForums Tanzania Shida ya maji Mara: Kinamama wamlilia Rais Samia awatatulie shida yao

    Tutegeni masikio tusikilize! --- Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao. Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya yanawasababishia muwasho na kuwafanya watokewe na unga unga. Aidha, wanadai maji hayo yamewashinda hata mifugo ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi...
  10. JamiiForums Tanzania Katavi : Rais Samia azalisha ajira za kudumu kwa vijana kupitia mikopo ya asilimia 10

    Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti. Kwa mujibu Muhasibu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi Makao Makuu ya Bandari ya Ziwa Tanganyika, Oktoba 18, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji)...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Siwa kutoka idara ya Usalama, Rais Samia ututolee mawaziri wafuatao

    Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :- 1 . January Makamba 2. Mwigulu Nchemba 3. Nape Nnauye Hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania, hawa ni zaidi mifumo ndani ya mfumo . Soma pia: Uteuzi: Abubakar...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Natamani kwenda Marekani na Rais Samia

    Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya. Harmonize amesema yeye anatamani kwenda Marekani na Rais Samia. ========== Msanii Staa wa Bongofleva...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuwepo madarakani hadi 2035?

    Hili swali kidogo linanitatiza. Je, Rais mama yetu Dkt. Samia atakuwepo hadi 2035? Nauliza hivyo maana utaratibu wetu wa kuongoza nchi ni 10 years. Sasa hapa Rais wetu atakuwa ameongoza kwa 14 years. Kwa kule USA Trump ameambiwa hatakama atashinda uchaguzi ila ata ongoza kwa muhula 1 ambao ni 4...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefungua uchumi wa nchi

    NAHESHIMU KAZI YANGU, NDIO INAYONIWEKA MJINI Na Comrade Ally Maftah Nimpongeze Dr Samia Suluhu Hasan, kwani upendo wake unatupa amani kubwa sisi wajasiliamali kuendelea na shughuli zetu, Dr Samia ametufungulia nchi, ametuondoa wasi wasi, ametupa uhuru wa kuwasiliana, mitandao na biashara, kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
  18. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

    Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya. Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata huko kwenu, mnajivunga kuonyesha mpo pamoja na mama ilihali mko mbali naye kwa hatua milioni. Tangu...
  20. JamiiForums Tanzania Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani

    Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita. Kijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…