rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu muumba mbingu na nchi. Nyie ambao mnamtukuza sana Rais Samia jiangalieni

    Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia. Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo . Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchekeshaji Said Said atumia Milioni 7 kutengeneza bango na kuweka picha akiwa na Rais Samia barabarani, kusambaza majiji yote

    Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma. Akiweka wazi gharama alizotumia, Said amesema ametumia zaidi ya TSh milioni 7 kutengeneza na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Bilioni 4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga

    Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya kutosha katika Mkoa wa Rukwa na Mikoa jirani. Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia

    Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu. == Mwenyekiti wa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Asasi ya Ulinzi na Usalama SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameitendea Haki Elimu nchini

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" , hatuendi na mwanamke kwasababu ya jinsia yake ya kike, tunakwenda na mwanamke kwasababu ya uwezo wa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gulamali: Jimbo letu tumeondoa ziro, sasa hivi tuna one. Asante kwa Rais Samia

    Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia

    Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana. ======= Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: CCM wapigakura wenu hawana simu? Siku ya wanawake mlitia aibu sana mitandaoni, nchi nzima ilisimama na CHADEMA

    Wakuu, Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi? Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za kufuatilia matukio ya CCM humu mitandaoni? Wikiendi iliyopita tuliona kulikuwa na matukio ya kuadhimisha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwona Rais Samia akiongea, mtulivu ila kauli zenye mamlaka makubwa ndani yake

    Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa. Nisipomsikia wiki 2 au kutojua yuko wapi naumia sana. Hotuba zake ni tamu kuzisikiliza, zimejaa mamlaka...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuonya Mchengerwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mkuu wa UNICEF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF) Bi. Catherine Russell, leo tarehe 11 Machi, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika mazungumzo yao, Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimetoa mikeka mingi ya mabadiliko, natafuta watakaosimama na Serikali

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025. https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…