Wakazi wa Douala wameendelea kuandamana kwa siku ya pili mfululizo baada ya kutangazwa kwa Rais Paul Biya kuwa mshindi wa urais kwa mara ya nane, hatua iliyozua hasira kubwa miongoni mwa wananchi. Vikosi vya usalama vimepelekwa katika mitaa kadhaa ya jiji hilo baada ya vurugu kushika kasi...
Baada ya uchaguzi wa urais nchini Cameroon uliofanyika Oktoba 12, 2025 Tume ya Kitaifa ya Kuhesabu Kura imetoa matokeo ya awali yanayomuonyesha rais aliyeko madarakani, Paul Biya, akiongoza kwa zaidi ya asilimia 53 ya kura zote
Kwa mujibu wa tume hiyo, Biya amewashinda wapinzani wake, akiwemo...
Baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 12 Oktoba nchini Cameroon, pande zote mbili chama tawala na upinzani zinadai ushindi, ingawa matokeo rasmi yanatarajiwa kutolewa wiki ijayo
Katika jiji la bandari la Garoua, kaskazini mwa Cameroon, wafuasi wa kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma...
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
Jean Bertrand M mwanaharakati anayejitokeza wazi nchini Cameroon, ametuma ujumbe mkali kwa Waziri wa Utawala wa Ndani, Paul Atanga Nji, akitangaza kwa ujasiri kuwa Rais Paul Biya “ameanguka” na “amepoteza uchaguzi.”
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Jean Bertrand alisikika akisema yuko...
Mgombea urais wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, ametangaza ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 akimtaka Rais Paul Biya akubali matokeo na “aiheshimu sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura.”
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.