The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao.
Ni vizuri rais...
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal force watu wanachukua silaha wanaingia barabarani wanaleta vitisho. Unaonaje mantiki yangu ilivyokuwa...
Jeshi la polisi ni chombo muhimu sana kwa ulinzi wa taifa lolote lile.
Hiki ni chombo amabacho kina jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao.
Lakini katika kulinda usalama wa raia na mali zao polisi wanatakiwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kulinda haki za raia.
Raia nao...
Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi.
Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia.
Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul.
Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe.
Imefika mahali hata mwenyewe anaona kama vile ni kweli anao wajibu wa kutenda vile atendavyo mama nyumbani.
Ni kweli kuwa...
Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye...
Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kuwa atawarejesha nyumbani raia wote wa Marekani kutoka nchini Afghanistan pamoja na Waafghani waliosaidia juhudi za nchi yake kwenye vita vya karibu miaka 20.
Biden ametoa ahadi hiyo alipozungumza na waandishi habari mjini Washington wakati hatma ya maelfu ya...
Tanzania nchi yenye kila aina ya raslimali nchi yenye nguvu kazi ya kutosha watu mil.60
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo na makazi lakini wananchi wake ni masikini wa kutupwa wamerundikiwa furushi la tozo kila mwananchi kalibeba furushi
Ili tuyaepuke hayo maisha ni muhimu katiba mpya...
Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii.
Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili.
Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi.
Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
Tabia ya polisi wa Tanzania kuwatisha, kuwapiga na kuwaumiza wananchi wanaotumia haki yao ya kuhoji utendaji wa serikali inazidi kuota mizizi na kuibua maswali kuhusu wajibu wa polisi kwa raia wanaotuhumiwa kuvunja sheria.
Kwa hali isiyoeleweka Polisi wa Tanzania wameamua kutoheshimu uhuru wa...
Tarehe 06/11/2019 nilisajiri laini yangu ya AIRTEL na kupewa namba ya usajiri, tarehe 19/07/2021 laini yangu ya AIRTEL ikafungwa kwa madai ya kutosajiriwa! Nikalazimika kwenda kwenye ofisi za AIRTEL na nilichoambiwa huko ni maluweluwe eti siku mbili zilizopita nilisajiri laini kwa alama za...