qatar

Qatar (, (listen), or (listen); Arabic: قطر‎ Qaṭar [ˈqatˤar]; local vernacular pronunciation: [ˈɡɪtˤɑr]), officially the State of Qatar (Arabic: دولة قطر‎ Dawlat Qaṭar), is a country located in Western Asia, occupying the small Qatar Peninsula on the northeastern coast of the Arabian Peninsula. Its sole land border is with neighbouring Gulf Cooperation Council (GCC) monarchy Saudi Arabia to the south, with the rest of its territory surrounded by the Persian Gulf. The Gulf of Bahrain, an inlet of the Persian Gulf, separates Qatar from nearby Bahrain.
In early 2017, Qatar's total population was 2.6 million: 313,000 Qatari citizens and 2.3 million expatriates. Islam is the official religion of Qatar. The country has the highest per capita income in the world. Qatar is classified by the UN as a country of very high human development and is widely regarded as the most advanced Arab state for human development. Qatar is a high-income economy, backed by the world's third-largest natural gas reserves and oil reserves.Qatar has been ruled by the House of Thani since Mohammed bin Thani signed a treaty with the British in 1868 that recognised its separate status. Following Ottoman rule, Qatar became a British protectorate in the early 20th century until gaining independence in 1971. In 2003, the constitution was overwhelmingly approved in a referendum, with almost 98% in favour. In the 21st century, Qatar emerged as a significant power in the Arab world both through its globally expanding media group, Al Jazeera Media Network, and reportedly supporting several rebel groups financially during the Arab Spring. For its size, Qatar wields disproportionate influence in the world, and has been identified as a middle power. Qatar is currently the subject of a diplomatic and economic embargo by Saudi Arabia, the United Arab Emirates (UAE), Bahrain, and Egypt, which began in June 2017. Saudi Arabia has proposed the construction of the Salwa Canal, which would run along the Saudi-Qatar border, effectively turning Qatar into an island.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  2. SI KWELI Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi za Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Umoja wa Falme za Kiarabu, Syria,

    Wanaukumbi. BREAKING 🚨 Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi nchini Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Falme za Kiarabu, Syria na nchi nyingine za Ghuba. Picha zinaonyesha wazi kuwa Iran imeshinda vita hivi. ================ For English Audience ================ BREAKING...
  3. UAE na Qatar zinajaribu kumshawishi Trump afupishe vita dhidi ya Iran

    UAE na Qatar zinashawishi washirika kusaidia kumshawishi Trump 'kufikia njia ya mkato ambayo itawezesha operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran ziwe fupi', kulingana na ripoti ya Bloomberg. Ikumbukwe kimahesabu endapo vita itakuwa ndefu, kiuchumi siyo tu Iran itapata hasara kiuchumi...
  4. O

    Qatar itaishambulia Iran kulinda Usalama wake.

    TAARIFA MPYA: Qatar imesema inahifadhi haki ya kujibu shambulio la Iran.
  5. A

    Saud Arabia na Qatar Zimemruhusu Iran Apige Base Za USA Kwenye Ardhi zao

    Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran. Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
  6. Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  7. Tanzania and Qatar sign pact to boost job opportunities for local seafarers

    Dar es Salaam / London. Tanzania has signed a new agreement with Qatar that is expected to open more job opportunities for Tanzanian Leafarers and strengthen cooperation in the maritime transport sector. The Memorandum of Understanding (MoU) on the mutual recognition of seafarers' certificates...
  8. Hongera kwa UAE na Saudi Arabia kukataa kuwezesha ujengaji mpya wa gaza hadi hapo hamas watakaposhusha silaha zao na kutoweka.

    Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo. Kumbuka UAE, chama cha kigaidi cha Muslim brotherhood kimepigwa marufuku ila Qatar ndio makazi yao.
  9. Qatar wanavuna walichopanda kwa kukubali kushirikiana na Marekani

    Niaje waungwana Wengi tunafaham kuwa shetan huwa hana undugu, urafiki wala ujamaa na binadamu. Shetan ndugu yake, rafiki yake na jamaa yake ni shetan mwenzake. Hivyo ukiingia makubaliano yoyote na shetani kwa njia ya kumfurahisha au kumkera ujue mwisho wako utakuwa mbaya sana. Qatar ni...
  10. Mnakumbuka yule manzi wa "mkeka ndo nini au ndo zile ngozi waliolalalia slaves (watumwa)" , jana kanifanyia surprise

    Watoto wa kishua bwana kumbe wanajua kupika
  11. M

    Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  12. Baada ya Yemen Sasa ni zamu ya viongozi wa Hamas huko Doha Qatar kuuawa!!

    Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet: Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas. Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na...
  13. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Doha

    Wanaukumbi. ⚡️🇶🇦BREAKING: Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar kulaani mgomo wa Israel dhidi ya Doha: "Nchi ya Qatar inalaani vikali shambulio la woga la Israeli ambalo lililenga majengo ya makazi ya wanachama kadhaa wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Shambulio...
  14. Israel yashambulia makao makuu ya viongozi wa Hamas nchini Qatar

    Mpaka sasa hajajulikana ni viongozi wangapi walikuwemo ndani jengo Hilo la makao makuu mjini DOHA. Kwa habari Kile kipigo kilichoenda Kwa wahouthi na Kufa Kwa mawaziri wake nahisi inaenda kutokea Leo , Acha tusubiri tuone ni vifo vingapi vimetokea Who are the Hamas leaders in Qatar? Jeshi la...
  15. R

    Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

    Hello Members wa JF... Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi, mashambani, bustani, supermarket au sehem yeyote rafiki. Kwa agent ambaye anahusika anitafute inbox au...
  16. Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  17. Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

    Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe. ======= Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa. Mashambulizi haya yanakuja...
  18. Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

    Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara. 1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen 2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened 3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta...
  19. Madereva Watanzania washindwa kuendesha magari ya kisasa Qatar

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
  20. Wafadhili wakuu wa Ugaidi duniani Qatar watoa salamu za pole kwa Taifa la Israel baada ya wafanyakazi wake kuuliwa kwa Ugaidi wa Kipalestina nchin USA

    Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…