Dudu Baya amkalia koo Profesa J baada ya kupatiwa milioni 30 na Rais Samia Suluhu
Profesa J hongera kwa kugewa milioni 30 na mama Samia yani wewe huna utofauti na Wastara mnatumia ugonjwa kupata fedha wakati Watanzania wanamaisha magumu na Watanzania wanamachungu na damu za ndugu zao walipotea...
Ndugu zangu Watanzania ,
Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha The Throne kinachorushwa na redio Crown FM leo Ijumaa, Oktoba 11, 2024, Profesa Jay ameeleza kuwa...
Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina na mfuko/mastar wengine wapo hoi wanaishi kama milupo/ usione mtu ana ng'aa ukadhani ana chapaa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.