prof kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Lema kwa Kitila: Jamii inayoheshimu elimu lakini inaadhibu fikra huru, hujenga wasomi lakini si wenye hekima

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godbless Lema ameandika; Bwana Kitila Mkumbo!! Taifa halifi kwanza kwa kukosa rasilimali, hufa pale watu wake wanapoanza kuogopa kutumia akili zao. Kuna tofauti kubwa kati ya elimu na akili. Elimu ni zao la akili. Kabla ya kuwepo shule, vitabu na vyuo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Watu wafanye kazi zao. Msimamo wa Rais Samia ndiyo msimamo wangu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, wakati akizungumza katka mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast "Kwa hiyo watu wafanye kazi zao, na usimlaumu mtu kwa kufanya kazi yake. Sasa mtu anamlaumu Kitila chuo kikuu... sasa mimi sipo chuo kikuu...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri foleni barabara ya Goba

    Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku. Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi. Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Rais anapofanya ziara haendi kutafuta MISAADA. Hatutakubali kuchaguliwa rafiki wala adui

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27, leo Juni 11, 2026, amempongeza Rais Samia kwa ziara yake nchini Urusi, huku akisitiza kuwa Tanzania...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Ilani ya CCM inakemea Utekaji

    Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 ITV Septema 8, 2025, Professor Kitila Mkumbo alisema haya kuhusu suala la utekaji na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) "ilani ya CCM ina vipaumbele tisa, kwa mfano kipaumbele cha sita ni kudumisha demokrasia na utawala bora, hapa tunazungumzia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Naimani na Wananchi wa Ubungo na CCM watanirudisha nigombee na kushinda Uchaguzi huo

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa Mwaka 2025/2026 Katika Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Amewashukuru wananchi wa Jimbo la Ubungo...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

    Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
  8. JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo, usihitimishe mchakato wa dira ya maendeleo ya taifa bila kutembelea China ili kujifunza mafanikio katika sekta ya viwanda na elimu

    Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china. Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua yale mazuri na ya muhimu. Tujifunze kwamba pamoja na kuwa na watu wengi, bado wameweza kuhimili...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo ameshindwa kujibu maswali ya Boniface wa CHADEMA kwenye mdahalo wa Tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba. CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao. Prof., kwa akili kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Serikali Imepokea Ushauri wa Kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar

    Akichangia mada kwenye kongamano la Uwekezaji kati ya China-Tanzania msomi wa UDSM ameshauri Serikali kujenga Daraja kati ya Dar-Zanzibar Kwa kushirikiana na China. Akijibu hoja hiyo Waziri wa uwekezaji prof.Kitila mkumbo amesema Serikali Imepokea Ushauri na itaufanyia kazi. --- Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…