Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume.
Kwa kweli waliupiga mwingi sana.
* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani...