https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba
Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja.
Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.
Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu...
Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion.
Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole.
Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,
nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE
@AbroadTanzania
1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja.
2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka.
3. Asema...
Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.