Habari za muda wana JF
Nipo Moshi huku kuna Msiba wa Ndugu yangu Mmoja.
Ujue Nikijaga Moshi mara nyingi ni December na huwa ni Muda wa Sherehe sikunotice hiki kitu.
Nimekuja sasa hivi nimegundua Moshi vijana wengi nadiriki kusema zaidi ya 70% ni walevi wa hizi Pombe maarufu kama Vichungu au...
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo ubongo ndipo mnaanza maongezi yaani kiroho safi kabisa.
Hata police ukienda ku report tukio unafika...
Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa.
I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi.
1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali
2. Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.