polisi arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Jeshi la polisi Arusha linachunguza kifo cha Raia wa Rwanda anayeelezwa kujinyonga akiwa mahabusu

    Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 ikielezwa kuwa ni baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha Polisi Jijini Arusha, alikokuwa akishikiliwa kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria...
  2. PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  3. GE2025 Polisi Arusha wajipanga kuuimarisha Usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Vitisho vinaendelea! Ila nao wabongo wanaendelea kuzoom kusubiri siku ifike tuone kitachotokea ============== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha usalama na utulivu vinaimarishwa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  4. R

    GE2025 THBUB yatoa Mafunzo kwa Polisi Arusha Kuhusu Haki za Binadamu na Utawala Bora kuelekea Uchaguzi 2025

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
  5. A

    DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  6. MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
  7. Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya tehama polisi Arusha

    Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
  8. Baada ya Watuhumiwa wawili wa wizi kuuliwa na Wananchi, Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi

    Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha watu wawili wasiofahamika majina wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 28 walifariki...
  9. M

    Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
  10. Polisi Arusha wataja njia zitakazotumika katika Tamasha la Land Rover, usalama waimarishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu. Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
  11. Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  12. Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  13. Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha

    My Take Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha. Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
  14. Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Maswali ya kujiuliza ni kuwa; 1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za kugharamia mafuta lita zote hizi? 2. Bajeti inayotengwa upande wa vyombo vya ulinzi ikijumuisha mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…