polepole atekwa na mafwele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Augustino Polepole: Mafwele Oktoba 14 saa tatu usiku uliwatuma vijana wako wakaruka ukuta. siku ile nilikuwa na wadusua

    Kaka yake Humphery Polepole Agustino amendelea kuzungumza tangu kutekwa kwa mdogo wake ambapo hadi sasa zimepita siku 14. Miongoni mwa yale aliyoyasema ni kuhusu Ridhiwani Kikwete kudai kwamba anafahamu alipo Polepole Agustino akaendelea kusema ushahidi wote upo na kauli hiyo aliitoa Mbeya...
  2. Waufukweni

    GE2025 Wasira: Kuna maswali kuhusu Polepole, alisema ametelekezwa Cuba halafu ghafla ikawa ametekwa Tanzania!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii" "Uhalifu siyo ishu ya...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Heche: CHADEMA tunapiga kelele Polepole arudi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akieleza namna chama hicho 'kilivyoapa' na kupinga matukio ya utakaji na watu kutoweka kwenye mazingira tatanishi, akitoa wito kwa Watanzania kutambua thamani ya binadamu wenzao
  4. DuaZaMama

    Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

    Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake. Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole
  5. DuaZaMama

    Mama Polepole: Nirudishieni mwanangu akiwa hai au amekufa, alikuwa mtoto wa kipekee

    BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum. AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa. Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
  6. Black Opal

    Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  7. Its Tesha

    Mtu Kama Huyu Hastahili Kutekwa, Historia ya Utumishi wa Humphrey Polepole kwa Taifa

    Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi...
  8. H

    Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  9. Waufukweni

    PICHA: Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia, akionekana na Ile Black Screen nyuma

    Picha za Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia na kuzungumza LIVE na Watanzania, akionekana na Ile Black Screen nyuma. Soma: Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
  10. Waufukweni

    Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

    Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025. ‎Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa...
Back
Top Bottom