Nauza pikipiki aina ya Honda Ace 150, iliyotumika kidogo sana na ipo katika hali safi kabisa.
🛵 Maelezo muhimu:
Aina: Honda Ace 150
Umbali uliotembea: KM 400 tu (karibu mpya kabisa)
Hali ya injini: Safi, safi kabisa, cc150
Matumizi: Binafsi, imetunzwa vizuri
Uwezo: Inafaa kwa biashara...
Wakuu.
Kwa wapenzi wa pikipiki kwa matumizi binafsi, unapendelea aina ipi? Au umewahi kumiliki aina ipi? Yepi mazuri na mabaya ya iyo aina? Ulinunua wapi na bei vipi?
Baadhi ya aina ambazo mimi nimekutana nazo na kua na experience nazo kidogo ni hizi chache:
Sport Bikes
Nazipenda muonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.