phd ya heshima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  2. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

    Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania. Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

    Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  6. JamiiForums Tanzania PhD za heshima ni mitego kwa viongozi wa Afrika, ni mambo ya asimilation policy

    Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi? Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena ni sio wote bali ni wale wanao wafurahisha Wazungu kwa kiwango kikubwa sana. Asia ina viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

    Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari! Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…