Wimbo ambao Peter Msechu anaukanusha.
Msanii Peter Msechu ametoa kauli yake ya kukanusha kutoa wimbo unaosambaa Mitandaoni kwa sasa wa kuichafua Serikali akisema huyo sio yeye kabisa'
Kupitia Insta yake Msechu amweka video ya maelezo na kuandika ujumbe unaosema kwamba ....
TAARIFA KWA UMMA...
King of Condolences -Peter Msechu tayari kashafyatua wimbo wa maombolezo wa Mheshimiwa Spika Mstaafu DrJob Ndugai.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Kwa hakika hakuna msanii ambaye amepata kuwa makini kwenye kazi yake kuliko Peter Msechu. Big up sana Kaka, umeshatoa wimbo wa pole kwa Marehemu Mhandisi Gissima.
Umetisha sana, kwako wewe unasubiria msiba tu ndo tupate kusikia sauti yako ya maombolezo Tanzania. Kwenye maafa ya Hanang...
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu ameanza ziara mkoa wa Dar es salaam katika kuelekea kwenye Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar,
Msechu amekutana na Katibu Mwenezi Siasa na Itikadi Mkoa wa Dar Es salaam Binamu Binanga na kuendelea kuwaimiza Wananchi...
Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma?
Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
Peter anapaswa asome vitabu na kutazama makala ñyingi ili apate maarifa ya kuutumia unene wake kujiingizia mkwanja na kupata umaarufu ambao pia utazidi kumpa dili za hela
Moja ya sehemu ambayo Peter anaweza kuitupia jicho ni michezo hasa ya kurusha na kunyanyua vitu vizito
Hapa kama Peter...
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini,
Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito.
Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila.
Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo
"Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.