pesa za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwehu ndama

    Ulishawahi kushikana mkono na mtia Saini wa noti za Serikali?: Mwigulu Nchemba akijinadi mbele ya Wananchi

    Katika kipande hiki cha video, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anaonekana akijigamba huku akimnadi mgombea udiwani wa jimboni kwake kwa kuwataka wananchi wamchague sababu ameshikana mkono na mtia Saini noti za taifa. Anaenda mbali nakuwauliza wananchi wake "kama walishawahi kushikana mikono na...
  2. R

    GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Vijana wataoa kwa pesa ya serikali

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
  3. robbyr

    TET imekosa ubunifu au ni njia ya utakatishaji wa pesa za serikali

    Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote. Natoa rai mfano...
  4. mirindimo

    Ni kweli Serikali haina pesa? OC mpaka sasa hazijapelekwa kwenye taasisi?

    Katika hali ya sintofahamu alisikika mfanyakazi mmoja wa taasisi nyeti ya kijeshi akimjibu mtoa huduma kua hakuna pesa kwa sasa za kuwalipa kwa sababu Serikali haina pesa na mpaka sasa taasisi hizo hazijawekewa pesa za bajeti hivyo waendeleee kusubiri kwa mda usiojulikana mpaka watakapowekewa...
Back
Top Bottom