pesa halali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi ?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Pesa ni Silaha; Vita ya Maisha. Mbinu za kimedani. Chukua mojawapo!

    PESA NI SILAHA; VITA YA MAISHA. MBINU ZA KIMEDANI. CHUKUA MOJAWAPO! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna mahitaji yanayoleta kuhitajiana. Kuhitajiana kunakoleta mahusiano. Mahusiano mchezo wa maslahi. Maslahi yenye kutimiza ndoto na malengo ya watu. Mahitaji ni tafsiri ya utegemezi...
  3. Under-cover

    Pesa halali ni ipi?

    Wakuu naomba kuuliza, ivi pesa inayolipwa as mishahara kwa watumishi ni pesa unayopatikana ki halali?, mfano labda pesa zinapatikana kupitia kodi labda tuseme kodi iliyokusanywa katika makampuni ya michezo ya kubahatisha, sasa zichukuliwe zile pesa zije zitumike labda kulipa mishahara kwa...
Back
Top Bottom