paul biya

Paul Biya (born Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo; 13 February 1933) is a Cameroonian politician who has served as the president of Cameroon since 6 November 1982. He is the second-longest-ruling president in Africa, the second-longest consecutively-serving current non-royal national leader in the world and the oldest head of state in the world.
A native of Cameroon's south, Biya rose rapidly as a bureaucrat under President Ahmadou Ahidjo in the 1960s, serving as Secretary-General of the Presidency from 1968 to 1975 and then Prime Minister of Cameroon from 1975 to 1982. He succeeded Ahidjo as president upon the latter's surprise resignation in 1982 and consolidated power in a 1983–1984 staged attempted coup in which he eliminated all of his major rivals.Biya introduced political reforms within the context of a one-party system in the 1980s, later accepting the introduction of multiparty politics in the early 1990s under serious pressure. He won the contentious 1992 presidential election with 40% of the plural, single-ballot vote and was re-elected by large margins in 1997, 2004, 2011, and 2018. Opposition politicians and Western governments have alleged voting irregularities and fraud on each of these occasions. Many independent sources have provided evidence that he did not win the elections in 1992 and that subsequent elections suffered from rampant fraud.His regime is supported by France, one of the former colonial powers in Cameroon, which supplies it with weapons and trains its military forces. France is also the leading foreign investor in Cameroon, ahead of the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Rais Paul Biya azuia Mitandao ya kijamii baada ya ripoti ya UN kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kumpinga

    Serikali ya Cameroon imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok, YouTube, Facebook na Telegram, saa chache tu baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Paul Biya. Kwa mujibu wa ripoti...
  2. W

    Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  3. Mgombea Urais Hiram avunja ushirikiano na FDC/CFD, asema Biya hajashinda Uchaguzi wa Cameroon 2025

    Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili, Oktoba 12, 2025, katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya, mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne. Uchaguzi huo, uliofuatiliwa kwa karibu na wachambuzi wa ndani na wa kimataifa, umeibua mjadala...
  4. R

    Maelfu wamuunga mkono mpinzani wa Rais Paul Biya wa Cameroon

    Maelfu ya watu wamekusanyika katika jiji la Maroua, kaskazini mwa Cameroon, kumuunga mkono mgombea wa upinzani Issa Tchiroma Bakary, siku chache kabla ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12, 2025 Hii inajiri wakati Rais Paul Biya , mwenye umri wa miaka 92, anatafuta kuendeleza utawala...
  5. R

    Rais wa Cameroon Paul Biya afanya Mkutano wa Kampeni yake ya kwanza, baada ya kutoonekana kwa muda mrefu

    Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya, ameonekana hadharani Jumanne Oktoba 7, 2025 katika mkutano wake wa kwanza wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu ujao, ambapo kiongozi huyo mkongwe zaidi duniani anawania muhula wake wa nane madarakani Akihutubia maelfu ya wafuasi katika uwanja wa...
  6. Mtoto wa Rais Paul Biya amewaomba wananchi wa Cameroon wasimchague tena baba yake kuwa rais

    Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon Paul Biya, amewaomba wananchi wa nchi hiyo kutompigia kura baba yake katika uchaguzi wa Oktoba 2025. Kupitia moja ya matangazo ya moja kwa moja kwenye TikTok, akitumia jina la utani “King Nasty,” alimkosoa kwa uongozi wake wa miaka 43 akisema umesababisha...
  7. Mahakama ya Cameroon yamzuia Mpinzani wa Rais Paul Biya kugombea urais

    Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982! Mahakama imesema Kamto amechelewa kuwasilisha maombi ya kuwania urais kupitia chama kipya cha MANIDEM...
  8. Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  9. R

    Rais wa Cameroon Paul Biya abadili viongozi wa kijeshi kabla ya uchaguzi

    Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
  10. R

    Rais wa Cameroon Paul Biya atangaza kuwania Urais kwa awamu ya nane

    Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025 Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa sasa, alitoa tangazo hilo kupitia machapisho kwenye mtandao wa X...
  11. Wafuasi wanamsihi Rais Paul Biya mwenye umri wa 91 wa Cameroon ambaye ameongoza kwa miaka 40 kugombea urais wa 2025

    Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake wa zaidi ya miongo minne. Watu kadhaa walikuwa wakipiga nyimbo katika mji mkuu wa Cameroon...
  12. B

    Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa? Kwamba kama ndoa, hadi kifo...
  13. K

    Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

    Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC. Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…