paschal mayalla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Paschal Mayalla - Sasa upo kwenye reli ya Uandishi wa Habari ni si uchawa tena

    Umeongea kwa ufasaha, utulivu na hoja zenye mashiko, jambo linalodhihirisha si tu uwezo wako wa kujieleza bali pia upeo wako wa kufikiri kwa kina. Ni wazi kuwa umejiandaa kwa umakini mkubwa; umechambua mada kwa ustadi na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya hali ya juu sana. Mtiririko wa mawazo yako...
  2. M

    Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo

    "Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
  3. S

    Paschal Mayalla simama upande wa haki au heri ukae kimya

    Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu, Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho...
  4. blogger

    VIDEO: Paschal Mayalla pole sana kwa yaliyokukuta baada ya Swali lile

    Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja. Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums. Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!? Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!? Hufikirii kumuona...
  5. Benjamini Netanyahu

    Nimeangalia marudio ya mahojiano cha Bwege EATV na kipindi cha mjandala mkuu Star tv cha Paschal Mayalla, asee nimeona tofauti

    Jana wakati naangalia marudio ya mahojiano ya mzee Mbwege na mtangazaji Mtei nikalinganisha kipindi cha mjadala mkuu jumatano Star TV cha Paschal Mayalla ni aibu kubwa sn kwa msomi kama Paschal Mayalla kuwa chawa badala ya kuwa mzalendo kwa taifa lake, Bwege pamoja na kwamba ni mgonjwa wa figo...
  6. Bhikalamba

    Yuko wapi mwandishi wetu nguli Paschal Mayalla?

    Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri. Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema...
Back
Top Bottom