papa leo xiv

Pope Leo XIV (born Robert Francis Prevost, September 14, 1955) is head of the Catholic Church and sovereign of the Vatican City State. He was elected in the 2025 papal conclave as the successor to Pope Francis.
Prevost was born in Chicago, Illinois, and raised in the nearby suburb of Dolton. He became a friar of the Order of Saint Augustine in 1977 and was ordained as a priest in 1982. His service includes extensive missionary work in Peru in the 1980s and 1990s, where he served as a parish pastor, diocesan official, seminary teacher, and administrator. Elected prior general of the Order of Saint Augustine from 2001 to 2013, he returned to Peru as Bishop of Chiclayo from 2015 to 2023. In 2023, Pope Francis appointed him prefect of the Dicastery for Bishops and president of the Pontifical Commission for Latin America, and made him a cardinal the same year.
As a cardinal, he emphasized synodality, missionary dialogue, and engagement with social and technological challenges. He also engaged with issues such as climate change, global migration, church governance, and human rights, and expressed alignment with the reforms of the Second Vatican Council.
A citizen of the United States by birth, Leo XIV is the first pope to have been born in North America, the first to hold Peruvian citizenship (having been naturalized in 2015), the second pope from the Americas (after his predecessor Francis), and the first from the Order of Saint Augustine. His papal name was inspired by Pope Leo XIII, who developed modern Catholic social teaching amid the Second Industrial Revolution. Leo XIV believes the ongoing Fourth Industrial Revolution, particularly advances in artificial intelligence and robotics, poses "new challenges for the defense of human dignity, justice, and labor".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Mhashamu Bernardin Mfumbusa. Kabla ya uteuzi huo, Askofu Kibozi alikuwa akihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Sioni umuhimu wa Kukutana na Papa Leo XIV

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hana mpango wa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, kufuatia tofauti zao za wazi kuhusu suala la Iran na umiliki wa silaha za Nyuklia. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Trump amesisitiza msimamo wake kuwa Iran haipaswi...
  3. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV ndani ya msikiti: Uhusihano wa Uislamu na Roman Catholic

    Papa Leo XIV akiwa Algeria: "Ushirika kati ya Wakatoliki na Waislamu unachukua sura chini ya ulinzi wa Mama Yetu wa Afrika. Hapa, nchini Algeria, upendo wa kimama wa Lalla Meryem (bikra Maria) unawakusanya wote kama watoto, ndani ya utofauti wetu mkubwa, katika tamanio letu la pamoja la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namheshimu Papa ila kwa ukimya wake kwa Iran kuua raia zaidi ya 40,000, mauaji ya Nigeria na mengine, sina budi kumuunga mkono Trump

    Mimi ni mkatoliki lakini kwa huyu Papa ni heri niendelee kumuunga mkono Trump, Papa yupo kisiasa zaidi Papa wa sasa anatoka Marekani, na baadhi ya kauli na mitazamo yake imeonekana wazi ana msimamo wa kisiasa unaohusishwa na chama cha Democratics, ambacho ni mpinzani wa Donald Trump. Hata kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV kuanza ziara yake Barani Afrika

    Papa Leo ameanza ziara ya siku 10 barani Afrika siku ya Jumatatu, akilenga kuwahimiza viongozi wa dunia kushughulikia mahitaji ya bara hilo ambako kwa Takwimu za Vatican zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 20 ya Wakatoliki duniani wanaishi Afrika, huku nchi tatu kati ya zile anazotembelea Kusini...
  6. JamiiForums Tanzania Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

    Kwa muda mrefu Papa mkuu wa kabisa katoliki duniani "Pope Leo" ambaye ni Mmarekani amekuwa mstari mbele kukemea mauaji na vita mbalimbali zinaondelea duniani mfano Gaza alikemea Hamas, mauaji yanayofanya na serikali ya Israel kwa watoto na raia, kupiga mabomu mpaka Kanisani Gaza nk Na kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania ‘Wakatoliki wa Yombo Dovya’ wampongeza Papa Leo XIV kwa kuiombea Tanzania

    Wakatoliki wampongeza Baba Mtakatifu Papa Leo XIV baada ya kufikia hatua za kuwasilisha ombi la Tanzania kufungua ubalozi wake Nchini Vatican pamoja na kuliombea Taifa amani Pongezi hizi zimewasilishwa na Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya , Makangarawe , Wilayani Temeke Jijini Dar es salaam...
  8. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV: Nafuatilia kinachoendelea Venezuela. Maslahi ya watu wa Venezuela yanapaswa kuzingatiwa kuliko kitu chochote

    Wakuu Watu mbalimbali duniani wameendelea kutoa matamko kuhusu ya kinachoendelea huko Venezuela na sasa ni zamu ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV Akizungumza hivi karibuni Papa Leo XIV ameonesha wasiwasi mkubwa alionao kuhusu yanayoendelea Venezuela na kuongeza uhuru wa taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV apigilia msumari, asema hakuna AMANI bila HAKI

    "Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa...
  10. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Baba Mtakatifu, Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama ndugu, wakiwa si tu watu wa imani bali Watanzania. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  11. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera kwako Baba Askofu Mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kwa kuteuliwa na Papa Leo XIV

    Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume Ulimwenguni kote ofisi zikiwa makao makuu Vatican. Ni miongoni mwa wa Afrika watano walioteuliwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV amteua Padri Monsinyori Romanus Mbena kuwa mkuu wa huduma ya Upendo Vatican

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Trump Kuvaa Kama Papa Haikuwa Bahati Mbaya, Marekani Ilikuwa Ishafanya Maamuzi Juu Ya Ujio wa Papa Mpya

    Watu wengi walivurugwa baada ya kuiona picha ya Trump akiwa amejipa upapa. Watu wakaongea weee ila mzee baba alijua tu, this time Marekani inatoa papa. Akaamua kutupa picha, sema na vichwa vyetu vya panzi hatukuelewa. Kutu chochote kiitwacho uchaguzi, Marekani anaweza kuingiza mikono yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…