pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya mikoa yote yalipaswa kutoka kwa pamoja na sio hivi kwa mafungu mafungu

    Kwakweli inashangaza sana Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet. Plot size Sqm 750 Clean title deed (HATI MILIKI IPO) BEI MILIONI 500 (500,000,000) Mawasilinao 0782 780980
  4. JamiiForums Tanzania Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na suala la Katiba Mpya, Halmashauri ya CCM ilipaswa kujadili hujuma dhidi ya mradi wa JNHP, bei za mbolea na mafuta ili waliohusika wakamatwe

    Ninashangaa sana kusikia eti katiba mpya imekuwa ina umuhimu sasa hivi wakati kuna kikosi kazi kilisema mpaka mama akishinda uchaguzi wa 2025 ndio mchakato uanze. Sio mbaya maana sasa ni hitaji la kitaifa na mchakato uanze mapema, lakini kwa nini CCM wabadili gea? Mbona masuala ya msingi kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuishi na Binti asiye ndugu yako wa damu pamoja. Hivi wake zetu mnalitambua hili?

    Habari wana JF, Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi. Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

    Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki 1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania kwa pamoja tuzilinde rasilimali zetu za nchi kwa pamoja na kwa wivu mkubwa sana

    Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali unaoruhusu uuzwaji wa wanyamapori. kwa u vulnerable ule ule ni lazima hii iwe work up call kwani serikali...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  11. JamiiForums Tanzania ABBA wamekutana pamoja kwa uwazi baada ya miaka 36

    Benny Andersson, 75, Agnetha Fältskog, 72, Anni-Frid Lyngstad, 76, and Björn Ulvaeus, 77, pulled out all the stops as they posed on the red carpet at the glitzy launch event, where they prepared to watch their digital avatars take to the stage. Pictured in 1974
  12. JamiiForums Tanzania Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

    -Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema. - Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  14. JamiiForums Tanzania Nini tatizo la Taa za Check Engine, VSC na Trac Off kuwaka kwa pamoja

    Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka. Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kenya na Uganda kufanya uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii wa nje

    Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje. Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya Uganda (UTB), Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Waendesha Utalii wa Kenya Fred Kaigua amesema jijini...
  16. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  17. JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

    Habari za jioni waungwana. Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi. Napatikana mkoa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na mafanikio, Madhaifu makubwa yatajwa kwa idara ya intelijesia ya Marekani

    Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv. TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza operesheni yake ndani ya siku kadhaa tu ama wiki huku wanasiasa wengine wakitia chumvi kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

    Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group, Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes] Tuendelee. . Generation zake zimekua coded B5[1994-2001], B6[2000-2006], B7[2004-2009]...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mazao gani unayoweza kulima pamoja na mihogo na yakaongeza rotuba ya udongo?

    Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo. Msaada, ni mazao gani hayo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…