Leo bhana mjini Dar es Salaam kuna pambano la ndondi 💪 (vitasa)
Mwakinyo anazichapa leo, kitawaka Sijui itakuwa TKO au sare au atapigwa
Basi bhana mapambano yapo mengi si unajua mwanetu🤪
Pambano sio lile la ulingoni tu, mapambano yapo mengi na moja wapo ya pambano au mchezo ni ule wa kwa bed...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ya ridhaa yake.
Mwakinyo anashikiliwa na jeshi hilo tangu jana...
Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo Afrika.
Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kukamilisha malipo hayo...
Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania ubingwa wa WBO, Litakuwa la Round 10
Mapambano ya utangulizi ni
1. Jamal Kunoga VS Abdallah Mahumba...